Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini Master J amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na Simulizi na Sauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na chuki wala kumkebehi mtu yeyote.
"Hii ya juzi ilikuja nilikuwa nimeonja vitu kidogo na niseme tu mbele...
Alikiba akerwa na Master J baada ya kukerwa na kuchoshwa na tabia ya Master J kujifanya anafahamu sana muziki kwa kuwasengenya wasanii wa Tz
Alikiba alikereka na kauli ya Master J iliyoruka hewani kuwa Alikiba ana bana sana pua kama Wahindi kitendo ambacho kinaonesha watu kuwa Master J ni mtu...
Baada ya kufanya mahojiano na mwandishi mmoja alidai kwamba @alikiba hawezi kumfikia msanii wa Kenya Bienaimesol kwa uimbaji maana Alikiba anabana sana pua akiwa anaimba live. Alisema;
""Nani? Yule mbana pua, hapana kweli. Usimfanishe na Bien, msifananishe wabana pua na waimbaji wa rnb major...
DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi kuwarekodi ni kama vile Common na D’Angelo. Usisahau kwamba Bonny Luv ni Producer hatari akifanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.