Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete
Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
US...
Umhimu wa Kujua Historia
Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na...
Wanaukumbi.
MOSCOW -
Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas.
Urusi imelaani mauaji ya...
Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye.
Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa kwenye kambi hiyo.
Sambamba na hilo kiongozi wa mamlaka ya Palestina ambaye daima huonekana kuwa karibu...
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
Kufuatia kuuliwa kwa kiongozi mkuu wa Hamas hapo juzi,raisi Erdogan wa Uturuki amempigia simu raisi Biden na kutoa onyo kwa kusema kama ifuatavyo na kama ilivyoripotiwa na Aljazeera
Turkey’s leader Recep Tayyip Erdogan in a phone call with US President Joe Biden says Israel’s killing of Hamas...
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki.
Nchi za Magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji wake hivyo nadhani juu ni wakati muafaka wa kuisambaratisha ISRAEL ili kuvunja ngome ya magharibi...
Kinachoendelea mashariki ya Kati ni maandalizi ya Vita kuu ya tatu ya dunia hapo baadae kidogo.
Vita ya 3 ya dunia iko karibu mno. Hii Vita itahusisha silaha za nuclear. Mabomu ya nuclear yatatumika kwenye hii Vita. Sina muda wa kuliongelea Sana.
Nitaliongea hili la taifa la Israel kuzingirwa...
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran
⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel
Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet
Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati mmoja, kinaonesha kwamba jamaa anamkono wa kupiga mashariki ya kati muda wowote na saa yeyote...
Katika wiki za hivi karibuni China imefanya jambo kubwa la kidiplomasia kwa kuyawezesha makundi 14 ya kisiasa ya Palestina, kukaa kwenye meza ya duara na kujadili mustakbali wa uwakilishi wa watu wa Palestina, na makundi yote hasimu yamefikia maafikiano na kusaini makubaliano, yakiondoka Beijing...
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto...
Wanakumbi.
MPYA:
🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
Habari za muda huu.
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.
PIA SOMA:
- LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel
- Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan...
Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana.
Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa.
Sikiliza hapa.
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati.
"We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.