Salama wakuu wote wa hili jukwaa
Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki za binadamu Martin Luther King Jr Huwa naona maumbile yao au mwonekano wao unaonyesha kuwa walikuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani.
Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
Asalaam ndugu wana jukwaa.
Ukitazama kwa makini siasa zinazo endeshwa ndani ya CHADEMA kwa sasa, unaona kutokuelewana fulani hivi kati ya Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe na Makamu wake,nguli wa sheria wa nchi hii Mheshimiwa Tundu Anthipas Lissu.
Miaka ya nyuma,huko Marekani kuliibuka na...
Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi.
Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust).
Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
askofu
baada
bahari
dp world
hii
inaweza
kazi
kkkt
maadhimisho
martinluther
miaka 60
mkataba wa bandari
mkuu
mwarabu
rais samia
sakata la bandari
serikali
suala
tag
ushindi
viongozi wa dini
walokole
waraka wa tec
wasabato
watanganyika
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me
Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,
Martin...
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.
Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.
Leo Mchungaji...
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther.
Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.
Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.