Wale wafuatiliaji wa Epl leo tar 10/8/2024 ndio ufunguzi wa ligi inayo anza tr 16/8/2024 .
Uwanja: Wembley
Mechi ishaanza
HT :Man city 0-0 Man united
0-1 Garnacho dk 82
1-1 Bernado dk 89
FT Man city 1-1 Man united
After penalties - Man city 7-6 Man united
Man City bingwa community...
Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1, Los Angeles.
Licha ya kuwa haijajulikana ukubwa wa majeraha lakini hiyo ni tahadhari kwa Kocha wa...
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid
Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid
Pia...
Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo.
Matokeo mabaya ya timu hiyo yanatajwa kuwa yanaweza kuwa kikwazo kocha huyo...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na Victor Lindelof kupata majeraha.
Walinzi hao wanatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja, Martinez akipata...
Manchester United imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la FA (FA Cup 2023/24) kwa ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Old Trafford, mchezo ambao umechezwa dakika 120 baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90.
Kwa matokeo hayo, Man United imeungana na Coventry City...
Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford.
Aston villa walikua wa kwanza kutangulia kupata goli 2 kupitia kwa Captain McGinn na Dendoncker
Lakin Man Unuted ikafanya...
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na kuonesha ubora katika michezo ya hivi karibuni tofauti na wapinzani wao.
Matokeo hayo...
Ikicheza mechi ya kwanza tangu ilipokatwa pointi 10 kutokana na kukiuka kanuni za Fedha katika Premier League, Everton imeendelea kuwa na wakati mbaya kwa kuchapika magoli 3-0 kutoka kwa Manchester United.
Waliopeleka furaha Man. U leo Novemba 26 ni Alejandro Garnacho, Marcus Rashford na...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo.
Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022.
Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.
Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili)...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ametoa kicheko hicho alipoulizwa swali wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kiwango cha wapinzani wao, Manchester United jinsi walivyoanza msimu wa 2023-24.
Baada ya kucheka, Guardiola akasema “Hawakuanza kama walivyotarajia ni kama ilivyo kwa...
Beki huyo wa kati ambaye msimu uliopita aliitumikia Marseille ya Ufaransa kwa mkopo, amekamilisha mchakato wa kutua Besiktas ya Uturuki baada ya kukosa nafasi chini ya Kocha Erik ten Hag.
Bailly ambaye alisajiliwa Mwaka 2016 chini ya utawala wa Kocha Jose Mourinho akitokea Villarreal amecheza...
Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kuchukua uamuzi huo kutokana na Wanunuaji kutofikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka, ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 (Tsh. Trilioni 31.4).
Ikiwa uamuzi huo utafanyika unaweza kuibua hasira za baadhi ya mashabiki wa United ambao wamekua...
Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza wachezaji ambao hawapo kwenye mipango yake huku muda wa kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili...
Mzuka wanajamvi!
Mechi ya jana usiku ya premier league Uingereza Kati ya Wolverhampton vs Manchester united ilikuwa bonge la mechi.
Cha kusikitisha Wolves hakuibuka kidedea ilifungwa goli moja kwa bila na Mani licha ya kucheza vizuri kwa kushambulia kulinda na kukaba
Wolves pia katikati...
Klabu ya Manchester United imekataa ofa hiyo ya Pauni Milioni 20 (Tsh, Bilioni 63) kwa kuwa inaamini ni dau la chini na imeweka wazi thamani ya beki huyo wa kati kwa sasa ni Pauni Milioni 35 (Tsh Bilioni 110)
Kocha wa West Ham, David Moyes anataka kuwasilini Maguire pamoja na kiungo mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.