1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
Leo katika mchezo wa mwisho wa kombe la FA mwamuzi alisimamisha mchezo kwa dakika kadhaa ili kuruhusu mchezaji wa Manchester United Noussair Mazraoui aweze kufuturu.
My Take : Dunia ingekuwa sehemu salama kama wote tungeishi kwa kupendana hivi pasi kujali imani zetu, dini zetu. Leo Noussair...
Nickname(s): Roș-albaștrii (The Red and Blues)
Founded: 7 June 1947
President: Valeriu Argăseală
Head Coach: Elias Charalambous
League : League 1
Website: fcsb
Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.
Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.
Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania.
Lakini baada ya kuondoka Kwa...
Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza
6' 0-0
14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo
18' 0-0
22' bado 0-0 mpira umebalance
30' 0-0
35' 0-0 man city anapata kona
36' GOOOAL MAN CITY 1-0 MAN UNITED
Garvadiol
41' 1-0
HT Manchester City 1-0...
Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia OldTrafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia saini mkataba hadiJuni 2027.
Mshambulizi wa zamani wa United Ruud van Nistelrooy,ambaye alichukua...
Manchester United imemfuta kazi kocha Erik ten Hag kufuatia mwanzo mbaya wa msimu wa 2024/25. Klabu hiyo, maarufu kama The Red Devils, ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kupoteza mechi nne kati ya tisa za kwanza.
Kipigo cha jana cha bao 2-1 dhidi ya West Ham United...
Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.
Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana -...
Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja na mataji manne ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga wakati akiwa Real Madrid. Pia...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki.
Martial (28) ambaye alidumu United kwa Misimu Tisa, hakuwa na timu tangu alipoondoka klabuni hapo...
Struggling star is Man United's highest earner as transfer flop makes the top five - but key midfielder is the LOWEST-paid player in Erik ten Hag's squad
Manchester United's wages for the 2024-25 season have been revealed with three players currently earning more than £300,000 a week.
Captain...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu.
"Tunafikiri Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%".
United...
The Egyptian King 👑 🔥
Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥
➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.
Full - Man United 0 - 3 Liverpool
⚽️ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 35'
⚽ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 42’
⚽️...
Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United ilipomnunua kwa pauni Milioni 73 kutoka Borrusia Dortmund.
Upande mwingin, Raheem Sterling wa...
Ikiwa ni mchezo wa pili toka ligi ya England ianze Manchester United imepoteza mchezo wake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Brighton & Holves Albion huku mabao ya Brighton yakifungwa na Danny Welbeck na Joao Pedro huku Unitedwakifunga bao la kufutia machozi kupitia kwa Amad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.