Good afternoon JamiiForums
Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"?
Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za...
NYOTA wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho na Mkewe Majda Sakho wamewasili Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za Kibunge. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari Utalii Tanzania.
Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?
Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10%
Kusema kweli ni aibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.