Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia.
Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto.
Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha kuzungumza nje ya dini ni cha kuombea maji ya kunywa tu?
Huwa naona wengi wanaweza kunukuu Quran kwa...
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na kujenga maadili kwa jamii.
Katika kuhakikisha hilo jana tarehe 30 Agosti, 2024 ametekeleza ahadi yake...
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana...
Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA
https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg
11 March 2024...
Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
📹 The Chanzo
Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni...
Jeshi la Polisi Nchini #Senegal, linamshikilia Mwalimu huyo ambaye amekuwa akitafutwa kwa wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuwafanyia kitendo hicho Wanafunzi wake wa Kike aliokuwa akiwafundisha kusoma Kurani.
Mshukiwa alitoweka baada ya shutuma hizo kuibuka mapema mwaka huu (2023) kufuatia...
Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.
Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha...
Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari.
Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya....
Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya.
"...anabonge la hirizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.