Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini.
Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya.
Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
Kwa mujibu wa USDA, limao (ndimu) huwa na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini ya calcium, magnesium, phosphorus, potassium, sodium, zinc, copper, selenium na kiasi kidogo cha sukari.
Aidha, huwa na vitamini C, citric acid, vitamini B12, folate pamoja na viondoa sumu vya...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini )
" Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya.
Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.