leicester city

  1. JanguKamaJangu

    Mashabiki wamwambia Van Nistelrooy “Hujui unachokifanya”

    Baada ya timu yao kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Fulham ikiwa ni mchezo wao wa 7 mfululizo kupoteza katika Premier League, mashambiki wa Leicester City wamemgeukia kocha wao, Ruud van Nistelrooy na kumwambia “Hujui unachokifanya”. Mashabiki hao waliimba katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja...
Back
Top Bottom