lebron

  1. JanguKamaJangu

    LeBron James afunga pointi 40, aifikia rekodi ya Jordan

    Nyota wa Kikapu, LeBron James ameonesha ukomavu baada ya kuiongoza Los Angeles Lakers kuoata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA. LeBron amefunga Pointi 42, ‘Ribaundi’ 17 na Asisti 8 ambapo ameungana na Michael Jordan kuwa wachezaji wawili pekee...
  2. Logikos

    Lebron James and Bronny James Wameweka Historia NBA; Baba na Mtoto Kucheza pamoja

    LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns. Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the...
  3. BARD AI

    Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  4. BARD AI

    LeBron James avunja rekodi yake NBA, ni mchezaji pekee duniani kufikisha Pointi 40,000

    MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA) Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
  5. JanguKamaJangu

    Wachezaji wanaoongoza kwa kufunga pointi nyingi NBA

    Nyota wa Ligi ya Kikapu ya NBA, LeBron James amefanikiwa kuwa mchezaji anayongoza kwa kufunga pointi nyingi katika ligi hiyo baada ya kufikisha zaidi ya pointi 39,000. LeBron (38) anayeichezea Los Angeles Lakers amefikisha rekodi hiyo akimpita nguli mwingine wa Lakers, Kareem Abdul-Jabbar...
Back
Top Bottom