lebanon kama paris

  1. Nkobe

    Mpaka miaka ya 1960's Lebanon ilifahamika kama Paris ndogo ya Mashariki ya Kati

    Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo. Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na...
Back
Top Bottom