Tunatengeneza Computer aina zote Motherboard Repair (Chip Level ). Wasiliana nasi sasa popote ulipo tutakufikia tutakuhudumia.Ushauri kwetu ni Bure... Pia tunahuduma ya On-call Support kwa msaada wa haraka na uhakika +255 746 494 637 Call+Whatsapp.
Common Computers problems we can fix...
Habari.
Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana.
BEI:500,000/=.
Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani.
Aina:
Core i 5 4gb Ram hdd 500GB
Hp probook 450 g2
battery. 3 hours
0753651541
Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.
Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya kuharibu biashara zao ila nlikuwa nataka tu nijipigie order kuna pc ni bei sana sasa nikataka...
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku,
Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje?
Asanteni.
🙏
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.