Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.
Wanasiasa...
Ninaona kwenye youtube matukio yakitokea Arusha wananchi wanaungana wote kama ni mazishi au uokozi wote wanakuwa na awareness.
Kwa mfano panya road wangekuwaga Arusha wangeshamalizwa na wananchi wenyewe umoja kama huo ni mzuri tena unakuta jinsia zote zinashiriki na watu wa rika lote...
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni viongozi wenye hulka za misifa misifa kuwasahau wabunifu na wachakata mawazo mazuri yanayopata vibes...
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
Wakuu Salaamu, naomba msaada kufahamu uhalisia wa hii picha niliyokutana nayo mtandaoni ikidaiwa kuwa Mwaka 1973 viwanja vya mnazi mmoja zilikusanywa Land Rover takribani 350, na Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, uhalisia ni upi katika hili wakuu?
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana.
Katika kumfuatilia kwangu tangu akiwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, then Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimu na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko...
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
Mambo vipi Wakuu!
Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
Wakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.