Wanabodi,
Mwendelezo
Kwa wasomaji wapya this is a true story of my life, nilitamani kuwa wakili kwa sababu ya Wakili Murtaza Lakha toka mwaka 1976, hatimaye sasa nimekuwa wakili, jee nitakuwa kama Lakha?.
Wiki iliyopita, tuliishia Baba Mzee Andrew Mayalla ni miongoni mwa washtakiwa wa Kesi ya...
Wanabodi,
Nipashe ya leo, Story Inaendelea...
Kwa Wasomaji wapya, hii ni stori ya safari yangu ya ndoto ya kuwa wakili, iliyonichukua iliyoanzia Mwanza mwaka 1976 takriban miaka 45 iliyopita, hatimaye nimekuwa wakili mwaka huu, hivyo kujiuliza jee sasa, bado naweza kuwa kama Wakili Murtaza...
Jana dunia nzima ilifaidi kesi ya Mbowe na hata Jaji alisema ana taarifa kwamba proceedings za kesi hiyo zinataarifiwa mitandaoni.
Tulifaidi RPC wa Kinondoni alivyhojiwa na Advocate Kibatala hadi akaomba kwenda kukojoa.
Jioni watu wakanusa mkakati wa kukatazwa kuingia na simu, siyo Mahakama...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe itakuwa ni darasa zuri la Sheria kwa wanaopenda kujifunza kwa njia ya vitendo siyo nadharia.
Sisi wahenga tulijifunza mengi katika kesi ya Uhaini iliyowakabili hawa akina Hans Pope wa Simba na wenzake waliotuhumiwa kutaka kumpindua Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.