Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri.
Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda?
Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine.
Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.
"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu:
Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme.
Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba
Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta.
Imeniuma sana...
Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha.
Ndugu zangu kwani shida ni nini?
Maisha yamekuwa na kaida ya kutupitisha kwenye changamoto mbalimbali iwe kwa kuzivutia mwenyewe au ziwe zimejivutia zenyewe ila hakuna namna waweza ishi pasi na changamoto.
Kuna changamoto zinakuja tu hata utulie vipi hakuna namna unaweza kuzuia na kuna ambazo zinakujia ila ukitulia zaidi...
Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.