Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd)
Nini Faida yake katika biashara
Utaratibu wake wa usajili
Utaratibu wake wa kikodi katika biashara
Changamoto zake katika biashara
Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19
Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili kuepusha matatizo yoyote ambayo yanaweza kuibuka.
Sasa, kulingana na uhalisia wa kiutendaji na...
Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty.
Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa.
Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii.
Nini kinabainika?
Kwa siku za hivi...
Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi ya wanahisa katika kampuni lakini wamekua wakikwama katika hilo kutokana na sababu mbalimbali hivyo...
Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote
Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas.
Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000.
Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas...
Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300.
Bei...
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow.
Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria.
Natanguliza shukrani
Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa:
OUR SERVICES
1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000)
2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada)
3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
Habarini ndugu zangu naitwa Laurian,
Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi.
Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi?
Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi?
Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale...
Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers)
Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani.
Picha linaanza...
Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu.
Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.