Kwanza nianze kwa Kuipongeza Simba SC kwa Kufa Kiume kwa leo nayo Kushinda Goli 3 kwa 0 japo tumetolewa kwa Kanuni ila hatujafungwa bali wote tumeshinda katika nchi zetu.
Hata hivyo kwa Maoni yangu kutokana na Jicho langu la Kimpira na Mtazamo wake baada ya Kuungalia mpira wote kuna Mapungufu...
Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo.
Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo.
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is atacheza. Baada ya kipigo kikali wanasimba wote na viongozi wao wameelekeza nguvu zao kwa masangoma...
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.
Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.
Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
KAZIER CHIEFS 4 – 0 SIMBA: GAVIN HUNT’S 5-2-3 BAMBOOZLES GOMEZ
Once in a while you watch a match that is tactically fascinating that its tactical lessons stick with you for a lifetime. This was such a match. With Chiefs floundering in their domestic league and Simba high on confidence after...
Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo.
Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla. Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.
Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo. Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR, POINT OF NO RETURN na zingne...
Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu.
Wengine: Lazarous Kambole randi 120,000 Leonardo Castro randi 180,000 Willard Katsande randi 200,000
Thamani ya timu yao kwa ujumla...
2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia
Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo.
Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs wanakabiliana na Simba SC katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo...
Acha na stori za Yanga na serikali ya kiujanja-ujanja. Twende tumzungumzie mpinzani wa Simba Sc robo fainali.
Hii timu ina hali ngumu sana na kuna kila dalili za kucheza playoff ili ibaki ligi kuu. Yeye na timu ya pili kutoka mwisho wanapishana point 5 tu.
Kocha wao amewaambia mashabiki waache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.