Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo
Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4...
I just saw a goal.com South Africa posting Manara words .
Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama Hersi anajua Manara kasha zingua huko South Africa. Mtu karibu na Hersi amshtue kazi...
Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball.
Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief.
Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4.
Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili.
Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya mashindano ya ndani na ya kimataifa, Nabi aliamua kutafuta changamoto nyingine huko Morocco na...
siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..
Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final
Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..
Kaizer ameshatangulia fainali
Moja kwa moja kwenye mada.
Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come on guys magoli 4 ni mengi sana, mlikosea sana ile mechi ya kwanza. Mechi ya kwanza mlijiamini sana...
Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni
Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.