Majanga, na wao, wahala!
Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?
Kwani wadada wa Tz wana shida gani?
Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
Angalia current girl friend jamaan
Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
Nyimbo inaitwa SISIKII ila sio ile yenyewe.
Hii kuna na sauti ya mdada, yaani Jux mwenyewe anaimba alafu na mdada anaimba pia nyimbo ni ileile ya Jux sisikii.
Sijui ndio mnasemaga cover sijui ndio remix sijui ndio karoekore misijui tena.
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1.
Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara.
Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana...
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki.
Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
Yule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako mbioni kuanzisha brand yao mpya hapa Tz.
Ifahamike Huddah tayari amelamba dili nono huko 21st...
Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.
Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.