Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha...
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.
Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.
Naomba chama aende Azam au Yanga na...
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League.
Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars.
Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.
Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA.
Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna brand nyingine? Jezi moja ina matangazo mawili ya kufanana?
Tajiri anatoa mzigo yes lakini hii ya...
Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa.
Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa.
Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7.
Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri...
GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC.
Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao...
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.
Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga
Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha
Sijui kama Makolo...
Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti.
Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
Salamu ya mjini sasa ni HAMSA
Aisee katika watanzania 10 ninaokutana nao 8 wamevaa jezi,za msimu uliopita au msimu huu,katika watu 100 ninaokutana nao mtu mmoja tu kavaa jezi ya simba,na akikutana na watu wa yanga kama anakimbia vile na kuhinamisha kichwa chini.
GSM wamepiga pesa sana kwenye...
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
AL AHLY (ADIDAS)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi
WYDAD AC(MACRON)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.
Home kit
Away Kit
Third Kit
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.