Habari wana JF!
Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu.
Baada ya kunieleza...
Hope kila mmoja ameshiba pilau.
Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
Jana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao.
kuna habari nyingine nlikutana nazo zimhusuzo muhammadu buhari raisi wa nchi ya naijeria inayoeleza kwamba alishakufa mwaka 2017 nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.