Ni kijana wenu mpya katika forum naomba mnipokee ntawapa ushirikiano pale panapo hitajika na me pia naomba mnipe ushirikiano tuweze kufikia lengo na kwa kumalizia ntafata sheria na miongozo iliyowekwa na kuiongoza hii forum
Thanks🙏🙏
Najitambulisha kwenu kama Member mpya, kwa ukarimu wenu mmeishanipandisha cheo hadi kuwa Senior Member, ninawashukuru kwa hilo, endeleeni kunipa ushirikiano kwa viwango stahiki.
Nami kama mgeni sijaja mikono mitupu, nimewaleteeni pamoja nami baraka za mawazo mapya mbadala, nipokeeni wenyeji wangu.
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
Habari za muda huu!
Mtu anabisha hodi mchana kweupe, kwanini umuulize "wewe ni nani"?! Sioni mantiki ya kumuuliza hili swali mchana. Ingekuwa ni usiku sawa maana usiku una mambo mengi.
Binafsi nikigonga mlango mchana, mtu aniulize hivyo huwa natafsiri kwamba ni dalili ya ubinafsi na ni...
Habari kama ilivyo mimi ni mgeni humu licha ya kuwa mtembeleaji wa JF kama mgeni ila nimeamua kujisajili.
Naombeni mnikaribishe kwa bashasha
Mimindoyulejamaamkatili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.