Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.