hamza

  1. figganigga

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
  2. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  3. Yericko Nyerere

    Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  4. J

    Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

    Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu. Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi. Chanzo: Ayo tv === kutoka Upanga Dar es Salaam kwenye nyumba aliyokua akiishi Hamza, Mwanaume...
  5. chizcom

    Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

    Tukio la huyu jamaa kufanya haya yote! Japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari! Na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote! Mama kaeleza. Polisi wanaongoza kupiga dili Askari michongo, askari sio wahaminifu, askari kutaka maisha...
Back
Top Bottom