grand p

  1. M

    Wanawake kweli wanahuruma, Grand P arudiana na mpenzi wake

    GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao. Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na Eudoxie Yao na kuandika upendo wa kweli hauna kikomo!. FOLLOW Aston John...
  2. MoseKing

    Kutana na Ulinzi hatari wa Grand P huko Guinea

    👇👇👇
  3. Frumence M Kyauke

    Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie amekuja na muonekano mpya

    Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana Hivi karibuni wapenzi hawa...
  4. Frumence M Kyauke

    Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  5. Dogo GSM

    Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

    Naimani mko buheri marafiki, Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views...
  6. Kasomi

    Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake

    Jina la kuzaliwa: Moussa Sanguiana Kaba Mwaka wa kuzaliwa: 1990 Umri: Miaka 31(mwaka huu 2021) Kuzaliwa: Sanguiana (Guinea) Raia: Guinea Kipaji: Mwimbaji, muigizaji, mtu wa mitandao ya kijamii na mwanasiasa Aina ya muziki: Hip hop Miaka ya kazi: Tangu 2019 suala la kiafya: Kuugua...
Back
Top Bottom