godbless lema

  1. Determinantor

    Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

    Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli. Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai na kwamba Rais alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga...
  2. K

    Kumshikilia Mbowe ni ili kuwatisha Lema na Lissu wasirudi Tanzania

    Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania. Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu...
  3. M

    Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

  4. S

    Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

    Ameandika hivi kupitia Twitter: Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda...
  5. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
Back
Top Bottom