People who mocked God and died a few later. 💔😮
1. There is no God, no one created the universe and no one directs our fate. There is probably no Heaven and no afterlife either… he got sick and died soon later.
2. John Lennon (Singer):
Christianity will end, it will disappear. I do not have to...
ALWAYS BE GOOD
Don't Worry. God is never blind to your tears, never deaf to your prayers, and never silent to your pain. He sees, He hears, and He will bring you help at the proper time. AMEN.
JUNE
J =Joy
U = Unlimited
N = Now
E = Ever
Happy New Month
Good Night 🙋♂️
Hasaa wale mnaopenda kusali kizungu, maombi mengine hamjibiwi kutokana na kuomba kwenu. Unasikia mtuu dear Gadi, help m uvwxyz Gadi, please dear Gadi.
Maombi mengine mnapeleka kwenye kampuni za walinzi. Mnamaliza mnajua Mungu amewasikia, mnaanza kumlalamikia Mungu hajibu maombi kumbe wewe...
INTRODUCTION.
NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar
ity)
👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a society where every citizen has a deep respect for moral and ethical values, often inspired by a fear or...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
Wasalaaaaaam wazeee...
Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza.
Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa ili nyimbo ya Abubakar ft joslin ngoma inaitwa samahani dada naomba nikwaguze mpaka kwenye nyumba...
"we will stop rain for you." ni kauli ya rais wa awamu ya sita waJamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa filamu ya royal tour huko nchini marekani. Alisema kauli hii katika kuwatia moyo watalii waje kuzulu nchini kwa nyakati zote hata msimu wa mvua na kwamba watasimamisha mvua kwa...
I keep asking myself this simple questions.
Is god dead? Imo yeah!
I wonder if a thug's prayer reach? Not really because he himself killed god!
Is pious pious because god loves pious? I don't know
What is a god to a nihilist? To kill self I'd guess.
Do you feel the animal inside you? Yeah I...
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa vipi.
Kwa msaada huo ninaleta extract kutoka kwenye Gazeti la the Guardian kuona mtizamo wao kuhusu...
D.Trump kaposti kwenye truthsocial kwamba Mungu kamuumba Trump kuja kuokoa USA, angalia na sikiliza mwenyewe …
https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/111703421569603715
Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia?
1. The holy scriptures say YES.
MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu"
( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja.
KATIKA BIBLIA
Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
Mhe. Rais amepanda ndege nje huko akiwa na majalada na documents akiendelea kuteua na kutengua. Ila wapo viongozi ambao wakisafiri na kazi zinisimama hadi arudi. Hii ni salam kwenu.
Aidha ,Kuna watu wanaweza wasione juhudi na nguvu kubwa anayowekeza Mhe. Rais katika kufanya majukumu yake. Kuna...
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia.
Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA
Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.
"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri
"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu).
Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko.
Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.