generation alpha

  1. Eli Cohen

    Sasa vituko vya "Gen Z" vinaelekea kutosha, vp "Generation Alpha" hawajaanza kusikika?

    Gen Alpha ni madogo waiozaliwa kuanzia 2010. Nafikiri kielimu ndio bado vipo form 1, 2 or atleast 3 na mnaelewa mtoto wa form 2 siku hizi unakuta tayari ameshakuwa "porn star" au kama yupo mtaani tayari huyo ni mwanakijiji anafanya atakavyo maana siku hizi watoto hawataki kuitwa watoto.
  2. Crocodiletooth

    Generation Alpha ndiyo itakayokuja kuisumbua CCM

    Hawa watakuwa moto wa kuotea mbali, sababu wahafidhina na walafi wa resources watakuwa wamehodhi kila njia ya utajiri na mafanikio kwa kurithisha vizazi vyao!
Back
Top Bottom