Habari za jioni waungwana.
Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi.
Napatikana mkoa wa...
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema...
Martin Luther King alikua Mmarekani mwenye asili ya Afrika, msomi aliyepigania haki hasa za weusi, baada ya utumwa kukomeshwa wabantu waliochukuliwa utumwani hawakupewa haki sawa na Wazungu.
Aliuliwa miezi saba baada ya kupigwa picha hii. Roho yake ipumzike kwa Amani.
Ali Landi, an Iranian teenager who became a national hero after rescuing two women from fire, has passed away due to severe burns.
Earlier this month, Ali, a 15-year-old boy from Izeh city in Khuzestan Province, rushed to rescue two neighboring women trapped in a burning house.
After the...
A fire broke out early Wednesday morning in a prison in Tangerang, a town west of the Indonesian capital. "Forty-one inmates have died, eight have been seriously injured and 72 have minor injuries," Jakarta Police Chief Fadil Imran told reporters.
Television footage showed fire department...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.