Hivi zile sifa ulizokua unazitaja
Za handsome,tall,dark
Financial stable
Na kwa mke (mnazijua nyie)
Ndo anazo sasa hivi
Au Ndoa ni upendo
Hahahaha
Nyie acheni kabisa
Ningemshauri mtu yoyote anaetaka kuoa/kuolewa
Make sure unawaza vitu vifuatavyo
1.mcha Mungu
2.ana upendo wa dhati.
3.anapenda...
Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.
Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.
R.I.P JPM.
Je, Wazee ( akina Baba ) wa zamani hapa JamiiForums hivi nanyi Enzi zenu hii tabia tuliyonayo Wanaume / Vijana wa Siku hizi ya Kuchafuana ( Kuuana kwa Mademu ) tunaowawinda 'Kuwangono' mlikuwa nayo au Wenzetu mlistaarabika zaidi?
Nimeshasema kuwa GENTAMYCINE sikatai Kumtongoza Demu wangu na...
Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 .
Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba...
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
"Mwalimu wetu hapendi keleleee,
Anapenda nyimbo na vigelegelee,
Akivaa kanga inamzuzua,
Akivaa kitenge mawingu na mvua"
"Naweza kuhesabu namba,12345678910,
Vidole vya mikono yangu jumla yake 10,
Huku 5 na kule 5 jumla yake 10..
Huwa nikikumbuka nilipotoka,enzi zile utotoni mpaka sasa...
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"
Na...
Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi...
Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani.
Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa.
Ni lini viongozi wetu watakuwa...
Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa.
Nini kilitokea
Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
Mama zetu, wanawake watu wazima, ambao hata biblia imewaasa kukaa na mabinti kuwafundisha juu ya kuomba na kuomboleza...ni muda umefika sasa wa kuwaambia binti zao ukweli wote.
Mimi sio writer mzuri naomba mnivumilie. Muwaambie mabinti mambo yafuatayo.
1. Kwenye mahusiano mpaka ndoa mabinti...
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin
Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.
Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪
Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na...
WNAJAMVI,
huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa.
Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
Kuna sehemu Yohana aliwahubiria watoza ushuru. Walimuuliza. "Sisi ni watoza ushuru. Unatushauri tufanye nini?" Yohana aliwajibu, "Msitoze zaidi ya kiasi kilichowekwa."
Zamani kulikuwa kuna kitu kinaitwa tax farms(mashamba ya kodi). Tajiri anaifuata serikali ya Roma na kuomba tenda ya kukusanya...
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20.
Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.