eid

  1. S

    Waliochapiwa siku ya Eid vilio vyao vitaanza kusikika wiki ijayo

    Ndiyo! Kuanzia wiki ijayo ndiyo uwongo walioaminishwa nao leo utajulikana na kudhihirika. Leo wapenzi wao wametoa visababu kedekede vya kuwafanya wawe mbali nao lkn wiki ijayo itajulikana kuwa vilikuwa vya uwongo. Natanguliza pole kwa waliochapiwa leo siku ya Eid
  2. benzemah

    Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

    Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa Kabla ya kuanza...
  3. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
Back
Top Bottom