eid

  1. MK254

    Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

    Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu. ====================== Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
  2. Roca fella

    Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
  3. Mjanja M1

    Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

    Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee! Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.? Aisee umenifunza kitu.
  4. Sauti Moja Festival

    Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

    Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa...
  5. Dkt. Gwajima D

    Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
  6. Allen Kilewella

    Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam. Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa. Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
  7. Chizi Maarifa

    Nimeona tofauti ya Pasaka na Eid. Nilikuwa nafanya utafiti

    Pasaka zote mbili hazikujaza watoto mtaani. Nlijaribu kupitia beaches kadhaa Kigamboni na Mbezi hadi Kunduchi. Watoto wengi walikuwa na wazazi wao na walikuwa wanachungwa sana. Hawapati sana nafasi ya kujiachia. Wapo. Chini ya uangalizi. Hii si nzuri sana mnawafanya watoto wanakuwa wapole sana...
  8. R

    Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

    Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo. Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu...
  9. Ojuolegbha

    Swala ya Eid el Fitri, Msikiti Masjid Zinjibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti...
  10. Dkt. Gwajima D

    Eid Mubarak 2024

    Kila la Heri na Eid Mubarak 2024, tusherehekee huku tukiwaangalia kwa ukaribu Watoto na Makundi yote Maalumu Ili wafurahi kwa salama na Amani 🤲🙏🏽🤗🌹
  11. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  12. EricMan

    Eid Mubarak to all Muslims

    Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
  13. Niache Nteseke

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Salaam wakuu. Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr. Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
  14. covid 19

    Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  15. benzemah

    Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  16. Mukulu wa Bakulu

    Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

    Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm. ======= Soma zaidi. Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of...
  17. B

    RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

    Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano. Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
  18. Teslarati

    Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

    Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea... NITAANZA NA TATU BORA 1)AMINA Wanawake wenye hili...
  19. John Gregory

    Mayele anafunga mpaka Eid 😄

    Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! 😄😄😄.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k...
  20. S

    Kama sijakutakia Heri ya Eid basi ujue sikutaki, punguza harakati zako

    Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM. Poleni nyote msiopendwa, ambao bila kuanza wewe kutoa salaam kwa mpenzi wako, hupati salaam toka kwake.
Back
Top Bottom