dr restart

  1. holoholo

    Ni madhara gani mtoto wa miaka 10 kufanyiwa vipimo vya X-ray?

    Mdogo wangu alindondoka (kwa bahati mbaya) kwenye mti,ikaonekana ameumia bega, tukaenda hospital kubwa hapa mkoani,madaktari wakasema lazma wafanye x rays na leo tunatazamia afanyiwe,je kuna madhara gani kufanyiwa mionzi hii?
Back
Top Bottom