Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema;
"Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"!
Nimejikuta tu nakumbuka siku chache...
DMX ambaye jina lake la kuzaliwa ni Earl Simmons amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 50
Mnamo tarehe 3 Aprili 2021, alilazwa katika Hospital ya White Plains iliyoko Jijini New York ikielezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na Shambulio la Moyo linalodaiwa kutokana na matumizi ya #DawaZaKulevya...
Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀
Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa
Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.