Dalili ya Kazi za Kitapeli:
1. Kampuni haina tovuti au akaunti katika mitandao ya kijamii.
2. Barua pepe ya mwajiri haiendani na tovuti rasmi ya kampuni au shirika halali
3. Maelezo ya kazi yanatumwa kupitia 'WhatsApp', 'SMS', 'Telegram'
4. Maelezo ya kazi hayaeleweki na yana makosa herufi...
Ipo wazi inajulikana pombe sio chai na mtu akinywa pombe uwezo wake wa kufanya maamuzi kwa asilimia kubwa hupungua.
Sasa utakuta kuna huu mchezo wa kuposti watu wakiwa wamelewa kwenye sherehe au sehemu nyingine yoyote ile na wakawa wamechangamka kwa namna moja au nyingine then utakuta mtu hana...
Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X
Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂
Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha itaendelea Kufungia Mitandao mingine yaani ni Sawa na kula Nyama ya mtu 🐼
======
Mwenyekiti wa CCM (Chama...
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.