deontay wilder

  1. Chinga One

    Deontay Wilder ni sawa na Dulla Mbabe aliechangamka!!

    Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu. BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine tena.
  2. Merci

    Once and for all Tyson fury vs Deontay wilder iii live now

    Kwa wale wapenda michezo hasa ndondi aka boxing, mnaweza kuangalia pambano now live kupitia Live Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Online | Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Stream
  3. GREAT VISIONAIRE

    Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

    Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa uzito wa juu duniani kati ya Tyson Fury vs Anthony Joshua umeenda mlama baada ya bondia Deontay wilder kutumia nguvu ya mkataba kutaka pambano la tatu sawa sawa na mkataba. Pambano hilo litafanyika Tarehe 24 Julai na wengi wanaamini kuwa Deontay Wilder...
Back
Top Bottom