cr belouizdad

  1. S

    Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro. Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa. My take YANGA SC...
  2. SankaraBoukaka

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  3. SAYVILLE

    Ipi ni comeback ya kibabe zaidi: Simba vs Mufulira Wanderers au hii ya Yanga vs CR Belouizdad

    Mwaka 1979 kulitokea maajabu ya soka ambayo mpaka leo bado hayajaweza kurudiwa katika historia ya soka la Afrika. Simba ilicheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika na timu ya Mufulira Wanderers ya Zambia. Mufulira ilikuwa moja ya timu bora Afrika kipindi hicho. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika...
  4. kavulata

    Ahmed Ally aliumizwa sana na matokeo ya CR BELOUIZDAD kwa Mkapa

    Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri. Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile. Ahmed...
  5. N

    Mtazamo wangu kuelekea mechi Young Africa vs CR Belouizdad

    Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli. Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa...
  6. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad 📆 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  7. Suley2019

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  8. MKATA KIU

    Mechi ya Yanga vs CR Belouizdad ianze saa tisa Dar kama Mamelodi anavyoruhusiwa kucheza na Waarabu Afrika Kusini

    Waarabu mchawi wao jua tu Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
  9. Vincenzo Jr

    FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

    Mechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii YallaYaAhly dakika ya 5 mpira umeanza mpira umemalizika kwa sare ya 0-0
Back
Top Bottom