Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa...
Kwema wana jf taifa kubwa
Naitwa makolelo
Mkazi wa dar
Elimu diploma
Uzoefu
Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja
Shop manager fashion shop
Revenue collector municipal
Cashier
Site foremen supervising 10 labour
Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
Wanabodi.
Kwa miaka ya sasa, hakuna kitu muhimu kama kuwa na connection. Kwa sasa hata watu husema it doesn't matter what you know but what matters most is who you know.
Well, kuna watu kibao wanateseka namna gani ya kuonana na mtu fulani labda kuwasilisha jambo lake kwa gharama yeyote ile...
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet.
Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
Wakuu nina gunia 500 za mpunga uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa shule na maafisa taaaluma. Kuna jamaaa mmoja anaitwa kafulila alikuja kufanya kazi mkoaaa huuu kama...
Kuna picha kadhaa nimeziona zinazohusiana na video ya mwanafunzi wa UDSM ila wengine mjini hapa hatuna connection za kutosha kupata zile clips.
Embu wadau tusambaze upendo basi.
Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography.
Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba...
Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata kama yakiwa ni mabovu "Wrecked".
Mobile Number: 0783 242247 & 0621 703279
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani.
Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!
Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku.
Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale shirika la chakula Duniani (Tanzania)
WFP hasa kitengo cha ajira.
Lengo ni kuwa niweze kuteta naye...
Wakubwa na wadogo, Salutations!!
Nipo Iringa na katika harakati za kusaka ajira za hapa na pale (japo nimepata), juzi kama masihara nilielekezwa sehemu na nikapewa namba ya meneja, nikampigia.
Akaniuliza baadhi ya maswali ambapo sikuwa na vigezo wanavyohitaji wao Kisha akaniambia niende Ofisini...
Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena
Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa.
Napatikana Mipango Dodoma
0624008133
Natanguliza shukrani.
Zanzibar-ASP
Asee habari humu!? Hamjambo wote,
Niende kwenye mlengo wangu moja kwa moja kuna inshu imetokea kwenye zile za kupata vitu free, kwa watu zimeloga, ila najua kwa kuna watu bado wana ujuzi humu, ila kuwajua wakupe michakato jinsi ndo shida,
Tupeni connection za kuzipata au tuzichaji tu kwa...
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
Habari zenu Wana jf, kijana wenu fresh from school natafu ajira kwenye angle zifuatazo kiwandani
Quality control
Production plan and control
Project management
Asanteni
Kwema wana jamvini.
Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.