combination form 5

  1. BVR 2015

    Comb ya PCM, Je hivi ataweza kuwa na machaguo mengine chuo?

    Mambo vipi Mwanangu amepata 1:13 sasa Pysics B, Chem B, Biology B, Computer A, Math A Comb PCM imekubalk na PMC HIVI NIKIMPELEKA PCM form Six Je hivi ataweza kweli kuwa na machaguo mengine chuo
  2. Roving Journalist

    TAMISEMI wafafanua kinachopelekea wanafunzi Kupangiwa Tahasusi (Combinations) tofauti na machaguo yao

    Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua. Soma: - KERO - Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa kozi ambayo hajaomba? - Serikali kuweni makini; inakuaje mtoto...
Back
Top Bottom