chipsi mayai

  1. matunduizi

    Nini chanzo cha wanawake na watoto wa DSM kupenda chips mayai kuliko vyakula vingine?

    Wanaume sio sana, ila kwa utafiti wangu wanawake, Wanafunzi na watoto wadogo wa kike na wa kiume wanapenda chakula hiki kuliko kitu chochote. Tena cha ajabu hata wakipikiwa nyumbani wanasema za nyumbani sio tamu. Cha ajabu zaidi hata uwatoe watu mikoani waliozoea ugali wa udaga au mtama ndani...
  2. A

    Pamoja na kushusha bei wananipita wanaenda kwingine, najiuliza nakosea wapi?

    Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa. Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo...
  3. Yoda

    Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
Back
Top Bottom