ccm tabora

  1. Mkalukungone mwamba

    CCM Tabora yaamua kuboresha uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufungiwa na TFF

    Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
  2. Mindyou

    LGE2024 DC wa Tabora afanya Marathon kuhamasisha ushiriki wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Pesa katoa wapi?

    Wakuu, Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi? Vihoja hivi utavipata Tanzania tu. Sijawahi kusikia nchi nyingine kama Marathon zinasaidia kuhamasisha wananchi kushiriki...
Back
Top Bottom