Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu vijana na kuwadhalilisha wazazi wenyewe.
Akizungumza leo, Machi 14, 2025 katika ziara ya kukagua uhai...
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga.
Mjumbe huyo wa...
Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
Habari watanzania na wana CCM,
Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi umemalizika ngazi ya Kata.
Katika hali ya kushangaza kuna baadhi ya Wanachama ambao ni wafanyakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.