carabao cup

  1. JanguKamaJangu

    Ratiba ya Raundi ya Tatu Carabao Cup yapangwa, vigogo wa Premier League wapata timu mchekea

    Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United, Arsenal, Aston Villa, Tottenham na Manchester City. Upande wa Liverpool, yenyewe itakutana na ‘kazi’ kwa...
  2. JanguKamaJangu

    FT: Chelsea 0-1 Liverpool, Carabao Cup Final 23/24, February 25, 2024

    Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London. Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30. Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane. Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa...
  3. THE BEEKEEPER

    Liverpool na Chelsea Leo carabao cup mwamuzi wa kati simuelewi kabisa

    Huyu cancedo amecheza rafu ya ajabu harafu mwamuzi wa kati kaangalia tu!
  4. JanguKamaJangu

    CARABAO CUP: Newcastle kuivaa Man City, Man United yapewa Crystal Palace

    Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la Carabao Cup imepangwa ambapo timu kadhaa za Premier League zimepangwa kukutana kuwania taji hilo ambalo bingwa mtetezi ni Manchester United. Mechi zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ni Manchester City vs Newcastle United, Man United watawakaribisha...
Back
Top Bottom