Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
Breaking news: Russia confirms "BRICS" to launch Gold-Backed Currency
07 JULY 2023
Breaking news: Russia Confirms "BRICS" To Launch Gold-Backed Currency
According to state-run Russian Television (RT), the Russian Government HAS CONFIRMED Brazil, Russia, India, China and South Africa, known as...
Umoja wa kundi la kiuchumi la BRICS lililoasisiwa na China na Urusi limeonekana kukua na kutishia uhai wa umoja wa mataifa na maslahi ya taifa la Marekani.
Hayo yameeleweka wakati umoja huo ukikaribia kufanya kikao chake mwezi Juni mwaka huu huko Afrika Kusini..
Balozi wa BRICS wa Afrika...
Mexico ambyo ni jirani wa karibu zaidi na marekani inafikiria kujiunga na muungano wa BRICS (Brazil, Russia, India, China, na Afrika Kusini) huku uhusiano wao na marekani ukiendelea kudhoofika chini ya utawala wa Joe Biden.
===
JUST IN: Mexico Considering Joining BRICS as Relationship Weakens...
Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS.
Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya...
A new world order? BRICS nations offer alternative to West.
Mataifa yanayojumuisha umoja wa BRICS — Brazil, Russia, India, China, South Africa yamejipanga ili kutoa mbadala wa mfumo uliopo wa fedha kimataifa na na majarida makubwa ya kisiasa. Mfumo wa kimataifa wa fedha wa sasa unaendeshwa sana...
BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani.
Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga.
Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya...
Fadhili Mpunji
Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo.
China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa)...
Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”.
Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
Pili Mwinyi
Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
Caroline Nassoro
Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
Mkutano wa 13 wa nchi za kundi la BRICS (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) unafanyika leo kwa njia ya video. Mkutano huo unafanyika chini ya uenyekiti wa India, ambayo ndio mwenyekiti wa zamu wa mkutano huo. Viongozi wa nchi hizo watashiriki kwenye mkutano huo, na rais Xi Jinping...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.