brics 2024

  1. I

    Mataifa ya Brics yanayotaka kuachana na dola ya Marekani katika biashara yajikuta katika wakati mgumu.

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema alitishia BRICS kwa kutoza ushuru wa 150% kwa bidhaa ikiwa watatafuta sarafu mbadala ya dola. Muungano wa nchi tisa ulianza ajenda ya kuondoa dola baada ya Marekani kuishinikiza vikwazo dhidi ya Urusi mwaka 2022. China na Urusi zinaongoza mpango wa...
  2. Sir John Roberts

    BRICS 2024: Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana mjini Kazan, Urusi

    Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan. BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA. Malengo ni mengi lakini kwa kuanzia ni biashara baina ya nchi wanachama, matumizi ya mfumo wa malipo wa...
Back
Top Bottom