brazzaville

  1. K

    Congo Brazzaville mbona haisikiki?

    Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari? Nielewesheni wakuu
  2. J

    Dkt. Ndugulile kusuka au kunyoa uchaguzi WHO leo

    Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo leo Jumanne, Agosti 27, 2024 unatarajiwa kumpitisha Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika ambapo miongoni mwa wagombea watano Tanzania inawakilishwa na Dk Faustine Ndugulile. Wagombea wengine ni pamoja na Dk Boureima...
  3. Ojuolegbha

    Viongozi wa Tanzania Washiriki 'Walk the Talk' Jijini Brazzaville

    Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’ Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024 Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom