boko

  1. M

    Nani Kasema John Boko ameisha!

    Kapten Fantastic John Raphael Boko! Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League. Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko. Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
  2. P

    Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

    Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote. Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme...
  3. MK254

    Kiongozi wa Boko Haram, Amir Bukkwaram, ajisalimisha

    Aona bora kujisalimisha badala ya kufa maana wanapelekewa moto sana wale....mambo ya kufa wakawahi mabikira yamewatoka. ========= The Boko Haram Commander that instigated an ethnic clash between insurgents leading to the killing of 82 fighters has surrendered to the military. Security sources...
  4. Webabu

    Tangu NATO kujiingiza kuisaidia Ukraine Alshabaab, Alqaida na Boko haramu wamepotea

    Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka chini mpaka ISIS na vijukuu kama viel Saheli ni West Afrika. Mitandao hiyo ilionekana kila siku...
  5. THOMASSILAA

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Boko Kalifonia

    Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI (40 urefu kwa 22upana) Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki 2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...
  6. MK254

    Magaidi wa Boko Haram wenye mlengo wa kidini wachinja vijana maporini

    Walikuta hao vijana wakichanja kuni na kuwaua..... Suspected Boko Haram insurgents on Thursday killed youths across four contiguous communities in Mafa and Jere Local Government Areas of Borno State. Four of the youths who were reportedly in the bush fetching firewood, were in Tamsu-Ngamdu...
  7. K

    Naomba kujuzwa English medium nzuri maeneo ya Boko - Bunju

    Habari zenu wana jamvi. Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri. Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivu🙏 Natanguliza...
  8. Mamujay

    Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  9. sanalii

    "Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

    Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi. Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
  10. JanguKamaJangu

    Boko Haram waua wanajeshi 10 wa Chad

    Boko Haram Fighters Kill 10 Chadian Soldiers Near Nigeria Border Boko Haram militants killed at least 10 Chadian soldiers in an attack on a military unit in Lake Chad province near the Nigerian border on Tuesday, Chad's government said in a statement. The unit had been dispatched as a...
  11. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  12. JanguKamaJangu

    Nigeria: Kiongozi wa Boko Haram auawa katika shambulizi

    Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga. Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022...
  13. N

    Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

    Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea? Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi
  14. M

    Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

    Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
  15. M

    Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  16. mgt software

    Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  17. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  18. C

    Endeleeni na mazoezi ya wazi Bunju/Boko, endeleeni na uzungu wenu

    Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
  19. Gordian Anduru

    Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

    wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
  20. Analogia Malenga

    Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
Back
Top Bottom