Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo.
Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6.
Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili.
Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
Wadau hamjamboni nyote?
Madaktari wamemzuia yeye akagoma na kuondoka kuelekea bungeni
Mwamba huyo ana siku 2 tu tokea afanyiwe upasuaji na anatakiwa aendelee kuwepo hospitalini Kwa siku kadhaa
Ameonekana akiwa dhoofu na amechoka (drawn and tired) kutokana na kuugua
Anatarajia kurudi...
Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015
- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration.
Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za...
Amani kwenu watumishi
Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua
Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa
Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa
Huyu jamaa harudigi nyuma
IQ kubwa sana
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa...
Wakuu,
Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.
Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
============...
Wakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense...
Wadau hamjamboni nyote?
Mamilioni ya dola za kimarekani Kwa magaidi wakiachia huru mateka wa Israel. Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
==========
An Israeli official confirms a Channel 12 report that Prime Minister Benjamin Netanyahu is prepared to offer captors of hostages in Gaza...
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia
=========
Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah
Days after Israel eliminated Hamas...
Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon
Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi.
Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran
Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======
Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback
Remains of a ballistic missile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.