beckham

  1. 2 of Amerikaz most wanted

    David Beckham alisema hii video ni ya kweli

    In 2011 David Beckham broke the internet after hitting three footballs into three different trash cans in a row on a beach. When he asked by reporter shortly after about whether or not it was real he said a simple answer 'of course'. He said he spent five or six hours on the beach so I had a...
  2. Eli Cohen

    Niko netflix naangalia doc ya Beckham ili kupozea machungu ya Man Utd

    https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489 Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
  3. Gautten Potten

    Beckham akumbushia Utata wa Alex Ferguson

    Moja ya wachezaji wanaofahamika kuwa na mitindo mingi na tofauti ya nywele ni David Joseph Beckham. Moja ya unyoaji uliowahi kumletea shida akiwa chini ya Sir.Alex Ferguson ni kijogoo. Alijua fika ingeleta shida ila upenzi wake kuwa na mionekano ya kitofauti ikamlazimu kunyoa hivyo. Sio...
  4. Ituzaingo Argentina

    Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

    .
  5. JanguKamaJangu

    David Beckham aweka wazi nia yake ya kuinunua Man United

    Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo. Hiyo inamaana kuwa kuhusika kwa Beckham kunaweza kuwa na manufaa kwa wanunuzi wengine kutokana na historia yake ya muda...
Back
Top Bottom