I'm proudly black man
Ila waafrica wengi tuna matatizo sana
Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern
Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa...
Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL.
Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal.
Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya...
Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League.
Arsenal Vs Bayern Munich
Real Madrid Vs Man City
Karata yako unatupia kwa nani?
Bayern need to make a comeback to qualify for the UEFA champions league quarterfinal. They lost the first leg 1-0 against Lazio.
Bayern have won just one of their last 5 games in all competitions.
Can Bayern make a comeback against Lazio?
Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.
Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili)...
Inadaiwa kuwa uamuzi huo umetokana na maamuzi ya Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel kuamua kutomsajili kipa huyo wa zamani wa Manchester United.
Bayern ilikuwa katika mazungumzo ya kumsajili raia huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni mchezaji huru kwa sasa, sababu kubwa ikitajwa...
Baada ya Miaka 13 akichezea spurs na muda mfupi akitumikia Leicester city , Norwich city, Millwall na Leyton orient kwa mkopo hatimaye Harry Kane anakwenda kuchezea Bayern Munich fc.
Dau la uhamisho ni dola milioni 110 .
---
Tottenham have accepted an offer from Bayern Munich for Harry Kane...
Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amekiri kuwa usajili wa raia huyo wa Senegal haujawa na mafanikio kwa kuwa mchezaji ameshindwa kufikia malengo, hivyo anaweza kuuzwa kwa Paundi Milioni 17 ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiliwa kutoka Liverpool kwa Pauni Milioni 35.
Bayern ina mpango...
Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane.
Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
Picha: Julian Nagelsmann
Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia Dortmund.
Inadaiwa kuwa tayari mabosi wa Bayern wameshafikia maamuzi ya mwisho ya kumuondoa Julian...
Uamuzi wa kutozwa faini ya Pauni Milioni 1.4 (Tsh. Bilioni 3.9) umetokana na kipa huyo mkongwe kuikosoa klabu kwa uamuzi wa kumfukuza Kocha wa Makipa Toni Tapalovic.
Neuer (36) yupo nje ya uwanja akiuguza majeraha ya kuvunjika mguu, kauli yake ilimkwaza Mtendaji Mkuu wa Bayern, Oliver Kahn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.